Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali J.J. Mkunda amefanya Ziara ya Kikazi nchini Msumbiji
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania atembelea Msumbiji. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali J.J. Mkunda amefanya Ziara ya Kikazi nchini Msumbiji kuanzia tarehe 23 hadi 27 Septemba, 2024. Wakati wa ziara hiyo, pamoja na… Read More