ATCLimekuwa Shirika la kwanza la barani Afrika  kununua Ndege aina ya Airbus A200-300

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania   ameongoza mapokezi ya ndege mpya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11 Januari, 2019 ameongoza mapokezi ya ndege mpya aina ya Airbus A220-300 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuimarisha…

Read More

ZIARA YA BALOZI MPYA WA NORWAY NCHINI MOZAMBIQUE KWENYE UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MOZAMBIQUE.

Balozi mpya wa Norway nchini Mozambique, Mheshimiwa Anne Lene Dale alipotembelea ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Mozambique kwaajili ya kujitambulisha. Balozi huyo amewasili hivi karibuni baada ya Balozi aliyekuwepo…

Read More

BAADHI YA WAGENI MASHAURI WALIOKUJA KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA AJALI YA MV NYERERE.

Picha za baadhi ya Wageni mashuhuri hapa Nchini Mozambique walipokuja kusaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea Mkoa wa Mwanza kwenye ziwa Victoria nchini Tanzania na kupoteza maisha…

Read More

MAONYESHO YA BIASHARA MAPUTO - MOZAMBIQUE.

Matukio mbalimbali kwenye Maonyesho ya Biashara Maputo - Mozambique. Nchi mbalimbali Duniani zilishiriki ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuleta bidhaa zao mbalimbali. Maonyesho hayo yalifunguliwa tarehe…

Read More

MAONYESHO YA BIASHARA ZA TANZANIA NA MOZAMBIQUE YALIYOFANYIKA NAMPULA

Matukio mbalimbali kwenye Maonyesho ya Biashara za Tanzania na Mozambique yaliyofanyika Nampula. Maonyesho yalifunguliwa tarehe 20 Agosti, 2018 na kufungwa tarehe 25 Agosti, 2018 Lengo la Maonyesho hayo ni kujenga…

Read More

Mheshimiwa Balozi Luhwavi akiwa na Mabalozi wengine.

Mheshimiwa Balozi Luhwavi akiwa na Mabalozi wa Nchini Misri na Saudi Arabia.

Read More

Tafrija ya kumuaga Balozi wa Algeria aliyemaliza muda wake

Picha ya baadhi ya Mabalozi wa nchi za Kiafrika mara baada ya tafrija ya kumuuga Balozi wa Algeria aliyemaliza muda wake Tarehe 27 Julai, 2018.

Read More