ZIARA YA BALOZI MPYA WA NORWAY NCHINI MOZAMBIQUE KWENYE UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MOZAMBIQUE.

Balozi mpya wa Norway nchini Mozambique, Mheshimiwa Anne Lene Dale alipotembelea ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Mozambique kwaajili ya kujitambulisha. Balozi huyo amewasili hivi karibuni baada ya Balozi aliyekuwepo…

Read More

BAADHI YA WAGENI MASHAURI WALIOKUJA KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA AJALI YA MV NYERERE.

Picha za baadhi ya Wageni mashuhuri hapa Nchini Mozambique walipokuja kusaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea Mkoa wa Mwanza kwenye ziwa Victoria nchini Tanzania na kupoteza maisha…

Read More

MAONYESHO YA BIASHARA MAPUTO - MOZAMBIQUE.

Matukio mbalimbali kwenye Maonyesho ya Biashara Maputo - Mozambique. Nchi mbalimbali Duniani zilishiriki ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuleta bidhaa zao mbalimbali. Maonyesho hayo yalifunguliwa tarehe…

Read More

MAONYESHO YA BIASHARA ZA TANZANIA NA MOZAMBIQUE YALIYOFANYIKA NAMPULA

Matukio mbalimbali kwenye Maonyesho ya Biashara za Tanzania na Mozambique yaliyofanyika Nampula. Maonyesho yalifunguliwa tarehe 20 Agosti, 2018 na kufungwa tarehe 25 Agosti, 2018 Lengo la Maonyesho hayo ni kujenga…

Read More

Mheshimiwa Balozi Luhwavi akiwa na Mabalozi wengine.

Mheshimiwa Balozi Luhwavi akiwa na Mabalozi wa Nchini Misri na Saudi Arabia.

Read More

Tafrija ya kumuaga Balozi wa Algeria aliyemaliza muda wake

Picha ya baadhi ya Mabalozi wa nchi za Kiafrika mara baada ya tafrija ya kumuuga Balozi wa Algeria aliyemaliza muda wake Tarehe 27 Julai, 2018.

Read More

Ziara ya Mheshimiwa Balozi alipotembelea Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam Nchini Tanzania.

Katiba ofisi za TAN - TRADE DAR ES SALAAM. Mheshimiwa Balozi Luhwavi alitembelea Maonyesho ya Sabasaba kufanya mazungumzo na Makampuni ambayo yatashiriki katika Monyesho ya Bidhaa za Tanzania nchini Mozambique tarehe…

Read More

Kikao cha Maandalizi ya Maonyesho ya bidhaa zinazozalishwa Tanzania Nchini Mozambique.

Katika picha ni baada ya kikao cha Maandalizi ya Maonyesho ya Bidhaa zinazozalishwa Tanzania Nchini Mozambique Agosti 2018. Nampula - Maputo.

Read More