News and Events Change View → Listing

WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA (MP) AKIWA NA MH BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI RAJABU LUHWAVI ALIPO FANYA ZIARA NCHINI MSUMBIJI

ZIARA YA WAZIRI MKUU WA TANZANIA KASSIM MAJALIWA NCHINI MSUMBIJI KWENYE KIAPO CHA RAISI NYUSI

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh.Kassim Majaliwa (MP) alipofanya ziara kwenye kiapo cha Raisi wa Msumbiji, Mh Filipe Nyusi, tukio lilifanyika tarehe 15 mwezi januari mwaka 2020, na kisha kutembelea jengo la ubalozi wa…

Read More

COMMUNIQUE OF THE 39TH SADC SUMMIT OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENT, DAR ES SALAAM TANZANIA 2019

COMMUNIQUE OF THE 39TH SADC SUMMIT OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENTJULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE DAR ES SALAAM, UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 17 – 18 AUGUST 2019 The 39th Ordinary Summit of…

Read More

TAARIFA KUHUSU MASUALA YALIYOJADILIWA KWENYE MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI SADC

1.    UTANGULIZI Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (39th Ordinary Summit of SADC Heads of State and Government– SADC) ulifanyika Dar es Salaam,…

Read More

ZIARA YA KIKAZI YA MHESHIMIWA BALOZI NCHINI MADAGASCAR

Ziara ya kikazi ya Mheshimiwa Balozi nchini Madagascar ilifanyika kuanzia tarehe 11 - 16 Novemba, 2019. Katika ziara hiyo Mheshimiwa Balozi aliambatana na Mwambata Jeshi na Mkurugenzi Mkuu (CEO) Taufiq Salim Turky…

Read More
Mheshimiwa Jacinto Filipe Nyusi, Rais wa Jamhuri ya Mozambique na Bwana Ossofo Momade, Kiongozi wa kundi la Waasi Renamo wakiwa wanasaini Mkataba wa kusalimisha silaha kutoka kwa wapiganaji wa Renamo.

MATUKIO KWENYE HAFLA YA KUSAINI MKATABA WA KUSALIMISHA SILAHA KUTOKA KWA WAPIGANAJI WA RENAMO

Rais Nyusi na Serikali yake ya Chama cha Frelimo jana ziliwezesha kusainiwa kwa Mkataba wa kusalimisha silaha kutoka kwa wapiganaji wa lililokuwa kundi la Waasi la Renamo ambalo baadae lilijibadilisha na kuwa chama…

Read More

TAARIFA YA KUSAINIWA KWA MKATABA WA KUSALIMISHA SILAHA KUTOKA KWA WAPIGANAJI WA RENAMO

Rais Nyusi na Serikali yake ya chama cha Frelimo jana ziliwezesha kusainiwa kwa Mkataba wa kusalimisha silaha kutoka kwa wapiganaji wa lililokuwa kundi la Waasi la Renamo ambalo baadae lilijibadili na kuwa chama…

Read More

TAARIFA YA KUWASILISHA HATI YA UTAMBULISHO KWA MFALME MSWATI WA III TAREHE 9MEI,2019 MBABANE ESWATIN

1.0 UTANGULIZI Ufalme wa Eswatin ni mojawapo ya eneo la uwakilishi liliopo chini ya Ubalozi wa Tanzania uliopo Maputo nchini Msumbiji. Mahusiano kati ya Tanzania na Ufalme wa Eswatini ni ya muda mrefu tokea kipindi…

Read More

ZIARA YA KUWASILISHA HATI YA UTAMBULISHO KATIKA UFALME WA ESWATIN

Ziara ya Mheshimiwa Balozi Luhwavi kwenye Ufalme wa Eswatin alipoenda kuwasilisha Hti ya utambulisho. Sherehe hiyo ya kuwasilisha hati ya utambulisho ilihudhuriwa na Mabalozi wa nchi mbalimbali ikiwemo Ufalme wa…

Read More