News and Events Change View → Listing

Kuratibu Maonyesho ya Biashara za Tanzania Nchini Mozambique

Wajumbe wa Kamati ya kuratibu maonesho ya Biashara za Tanzania nchini Mozambique, kutoka kulia ni Bw. Raphael Msukuma - Mjumbe wa Kamati, Bakari Njama - Mjumbe wa Kamati, Balozi wa Heshima nchini Eswatini Bw. Joseph…

Read More

Mheshimiwa Balozi afanya Mazungumzo na Balozi wa Mauritius

Balozi wa Mauritius hapa Nchini Mozambique ambae pia anaiwakilisha Mauritius Nchini Tanzania Mheshimiwa Balozi Jean Pierre Jhumun, afanya mazungumzo na Balozi wetu Mhe. Luhwavi ofisini kwake.

Read More
Balozi Rajabu Luhwavi wa Nchini Madagascar alipotembelea Antananarivo

Balozi Rajabu Luhwavi wa Nchini Madagascar alipotembelea Antananarivo

Balozi Rajabu Luhwavi wa Nchini Madagascar alipotembelea Antananarivo, katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Madagascar, na maafisa wa Wizara hiyo. Balozi Luhwavi alifuatana…

Read More
Balozi Rajabu Luhwavi akiagana na Gavana wa Jimbo la Sofala

Balozi Rajabu Luhwavi akiagana na Gavana wa Jimbo la Sofala

Balozi Rajabu Luhwavi akiagana na Gavana wa Jimbo la Sofala Jimbo ambalo lina Bandari ya Beira baada ya kuwa na mazungumzo na kupokea maombi ya Gavana huyo kuhusu kukaribisha wawekezaji wa Tanzania katika jimbo…

Read More

Ukaguzi ukiendela

Katibu Mkuu akikagua maendeleo ya ukarabati katika jengo la ghorafa 9

Read More

Picha ya pamoja ya Wafanyakazi na Katibu Mkuu.

Picha ya pamoja kwa wafanyikazi wa ubalozi wa Maputo wakiwa na Katibu Mkuu Prof. A. Mkenda.

Read More

Katibu Mkuu atembelea Ubalozi wa Tanzania Maputo nchini Msumbiji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akitambulishwa kwa wakandarasi waliokarabati jengo katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Msumbiji. Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na…

Read More

Balozi Rajabu O. Luhwavi awasilisha hati zake kwa Rais wa Jamhuri ya Madagascar

Balozi Rajabu Omari Luhwavi akiwasilisha hati zake za utambili kwa Rais wa Jamhuri ya Madagascar Mhe Rajaonarimampianina

Read More