News and Events Change View → Listing

Ziara ya Mheshimiwa Balozi kwenye Chuo cha Chama cha Frelimo.

Mheshimiwa Balozi Luhwavi alitembelea Chuo cha Chama cha Frelimo na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo hicho Prof. Dortor Eng. Lovis Pelembe kufuatia mwaliko wa kutembelea Chuo hicho Tarehe 4 Julai, 2018.

Read More

Mlima Kilimanjaro Nchini Tanzania

Picha zinazoonyesha Mandhari ya Mlima Kilimanjaro uliopo Nchini Tanzania.

Read More

Maonyesho ya Biashara za Tanzania na Mozambique Yatakayo Fanyika Nampula Aug. 2018

Ubalozi  wa  Tanzania Nchini Mozambique unayo furaha kuwajulisha Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Mozambique na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Maonyesho ya bidhaa za Tanzania Mozambique yaliyoandaliwa…

Read More

Ziara ya Mheshimiwa Balozi Nchini Madagascar.

Mheshimiwa Balozi Luhwavi alitembelea Wizara ya Viwanda na Sekta Binafsi katika Ziara yake Nchini Madagascar.

Read More

Ugeni uliotembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini Mozambique.

Ujumbe huu ulitembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini Mozambique wakati walipohudhuria Mkutano wa Siasa kusini mwa Afrika uliokua unazungumzia masuala ya siasa na ulinzi kusini mwa Afrika.

Read More

Ziara ya kutembelea Bandari ya Metangula

Mheshimiwa Balozi Luhwavi alipotembelea bandari ya Metangula iliyopo Ziwa Nyasa upande wa Mozambique. 

Read More

Mhe Balozi Rajabu O. Luhwavi akiwa na Balozi wa Marekani (USA) Nchini Mozambique Mhe Pittman

Mhe Balozi Rajabu O. Luhwavi akiwa na Balozi wa Marekani ( USA ) Nchini Mozambique Mhe Pittman, H Dean. Alipomtembelea Katika Ofisi za Ubalozi wa Marekani. Tarehe 14 Agosti 2018.

Read More

Ziara ya kutembelea Plant Cahora Bassa Hydroelectric Company

Mheshimiwa Balozi Luhwavi alipotembelea bwawa la Cahora Bassa, bwawa kuu linalozalisha umeme kiwango cha juu katika ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Read More