Balozi Rajabu Luhwavi wa Nchini Madagascar alipotembelea Antananarivo, katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Madagascar, na maafisa wa Wizara hiyo. Balozi Luhwavi alifuatana na Kaimu Mkuu wa Utawala Bwana Haji Bahima Mwinyi.