Picha ya baadhi ya Mabalozi wa nchi za Kiafrika mara baada ya tafrija ya kumuuga Balozi wa Algeria aliyemaliza muda wake Tarehe 27 Julai, 2018.