Picha za baadhi ya Wageni mashuhuri hapa Nchini Mozambique walipokuja kusaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea Mkoa wa Mwanza kwenye ziwa Victoria nchini Tanzania na kupoteza maisha ya watu zaidi ya mia mbili.

  • Balozi wa Japan, Mheshimiwa Toshio Ikeda akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya Mv Nyerere iliyotokea nchini Tanzania.
  • Balozi wa Zimbabwe, Mheshimiwa Lt. Gen. Nicholas. M. Dube akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya Mv Nyerere iliyotokea nchini Tanzania.
  • Mheshimiwa Balozi Rajabu Luhwavi akiagana na Balozi wa Zimbabwe Mheshimiwa Lt. Gen. Nicholas. M. Dube alipokuja kusaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya Mv Nyerere iliyotokea nchini Tanzania kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Mozambique.
  • Balozi wa Saharaui (UAE), Mheshimiwa Hasan Alzaabi akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya Mv Nyerere iliyotokea nchini Tanzania.
  • Balozi wa Sudan, Mheshimiwa Abdalla A. H. Salim akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya Mv Nyerere iliyotokea nchini Tanzania.
  • Balozi wa Netherland, Mheshimiwa Henry de Uries akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya Mv Nyerere iliyotokea nchini Tanzania.
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje nchini Mozambique, Bibi Maria Manuela Lucas akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya Mv Nyerere iliyotokea nchini Tanzania.
  • Mheshimiwa Balozi Rajabu Luhwavi akiwa anaagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje nchini Mozambique, Bibi Maria Manuela Lucas alipokuja Ubalozi wa Tanzania nchini Mozambique kusaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya Mv Nyerere iliyotokea nchini Tanzania.
  • Balozi wa Russia, Mheshimiwa Alexander V. Surikov akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya Mv. Nyerere iliyotokea Nchini Tanzania.