Balozi mpya wa Norway nchini Mozambique, Mheshimiwa Anne Lene Dale alipotembelea ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Mozambique kwaajili ya kujitambulisha. Balozi huyo amewasili hivi karibuni baada ya Balozi aliyekuwepo kuhamishiwa nchini Uganda.

  • Balozi mpya wa Norway nchini Mozambique, Mheshimiwa Anne Lene Dale akiwa anaagana na Mheshimiwa Balozi Luhwavi alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Mozambique kwaajili ya kujitambulisha.