Katiba ofisi za TAN - TRADE DAR ES SALAAM. Mheshimiwa Balozi Luhwavi alitembelea Maonyesho ya Sabasaba kufanya mazungumzo na Makampuni ambayo yatashiriki katika Monyesho ya Bidhaa za Tanzania nchini Mozambique tarehe 20 Agosti hadi tarehe 25 Agosti 2018 NAMPULA-MAPUTO.

  • Mheshimiwa Balozi Luhwavi akiwa katika Banda la TIB katika Maonyesho ya Sabasaba. Kutoka kulia ni Bw. Albert Philipo, Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Idara ya Diaspora alipoongozana na Mheshimiwa Balozi Luhwavi pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Mozambique Bw. Nelson Nkini wakati walipotembelea kwenye Maonyesho ya Sabasaba Jijijni Dar es Salaam mwaka 2018.