Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh.Kassim Majaliwa (MP) alipofanya ziara kwenye kiapo cha Raisi wa Msumbiji, Mh Filipe Nyusi, tukio lilifanyika tarehe 15 mwezi januari mwaka 2020, na kisha kutembelea jengo la ubalozi wa Tanzania lilipo mjini Maputo, Msumbiji.

  • HAYATI, MH BENJAMIN MKAPA RAISI MSTAAFU WA AWAMU YA TATU, ALIPOONGOZANA NA  NA WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA (MP)  KUSHUHUDIA KIAPO CHA RAIS NYUSI, JANUARI 2020, NCHINI MSUMBIJI.HAYATI, MH BENJAMIN MKAPA RAISI MSTAAFU WA AWAMU YA TATU, ALIPOONGOZANA NA NA WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA (MP) KUSHUHUDIA KIAPO CHA RAIS NYUSI, JANUARI 2020, NCHINI MSUMBIJI.
  • WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA (MP) AKIMUAGA MH BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI PAMOJA MAAFISA WAKE BAADA YA KUTEMBELEA JENGO LA UBALOZIWAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA (MP) AKIMUAGA MH BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI PAMOJA MAAFISA WAKE BAADA YA KUTEMBELEA JENGO LA UBALOZI
  • WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA (MP) AKIWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA JIJI LA MAPUTO NA KUPOKELEWA NA MH BALOZI WA TANZANIA NCHINI TAYARI KABISA KWA KUHUDHURIA SHEREHE YA KUAPISHWA RAISI NYUSI.WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA (MP) AKIWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA JIJI LA MAPUTO NA KUPOKELEWA NA MH BALOZI WA TANZANIA NCHINI TAYARI KABISA KWA KUHUDHURIA SHEREHE YA KUAPISHWA RAISI NYUSI.
  • WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA (MP) AKIWA KWENYE KIKAO NA MH BALOZI, MAAFISA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA UBALOZIWAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA (MP) AKIWA KWENYE KIKAO NA MH BALOZI, MAAFISA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA UBALOZI